Kwanini Wanaume Wengi Siku Hizi Hawapendi Kuoa Jamiiforums

Kwanini Wanaume Wengi Siku Hizi Hawapendi Kuoa ? | JamiiForums
Kwanini Wanaume Wengi Siku Hizi Hawapendi Kuoa ? | JamiiForums

Kwanini Wanaume Wengi Siku Hizi Hawapendi Kuoa ? | JamiiForums Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu miongoni mwa jamii kwamba imekuaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo sana hasa linapokuja swala la kuoa? kwa kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo idadi ya wanaume wanaoogopa kuoa inazidi kuongezeka. Mbona wanawake wanalalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji, kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu?.

Reversed Roles: 'Wanaume' Wa Siku Hizi - Sex & Relationships - Kenya Talk
Reversed Roles: 'Wanaume' Wa Siku Hizi - Sex & Relationships - Kenya Talk

Reversed Roles: 'Wanaume' Wa Siku Hizi - Sex & Relationships - Kenya Talk Usahihi wa swali ni kwann wanaume hawaoi wanawake wenye experience ya umalaya? jibu ni wanaume tunataka mlezi wa vizazi vijavyo, umalaya si moja ya sifa inayohitajika kwa vizazi vijavyo. Kuna kitu nimekiona ambacho kinanifanya niamini kuwa wanawake wengi (sio wote) hawafahamu nini wanaume wanakitaka kwao,licha ya kujitahidi kufanya vitu tofauti tofauti ili kumvutia mwanaume!. Hii misemo ya wanawake ya kebehi dhidi ya wanaume wasio na ajira au kipato, kama vile ‘mwanaume suruali’ ina mchango mkubwa kwenye kuwafanya wanaume kukwepa kuoa kama hawana ajira au hawana uhakika na kipato chao. Siku hizi wanawake wengi wameibuka katika kutafuta elimu ya juu kwa juhudi kubwa. idadi ya wanawake wanaojiunga na vyuo vikuu ni wengi tofauti na ilivyokuwa zamani.

Kwanini Wanaume Wengi Siku Hizi Wanahofia Kuoa Wanawake Warembo ‘wazuri Wa Sura’ Lakini Wapo ...
Kwanini Wanaume Wengi Siku Hizi Wanahofia Kuoa Wanawake Warembo ‘wazuri Wa Sura’ Lakini Wapo ...

Kwanini Wanaume Wengi Siku Hizi Wanahofia Kuoa Wanawake Warembo ‘wazuri Wa Sura’ Lakini Wapo ... Hii misemo ya wanawake ya kebehi dhidi ya wanaume wasio na ajira au kipato, kama vile ‘mwanaume suruali’ ina mchango mkubwa kwenye kuwafanya wanaume kukwepa kuoa kama hawana ajira au hawana uhakika na kipato chao. Siku hizi wanawake wengi wameibuka katika kutafuta elimu ya juu kwa juhudi kubwa. idadi ya wanawake wanaojiunga na vyuo vikuu ni wengi tofauti na ilivyokuwa zamani. Na hapo ndipounapokuta wanaume hawaoni tenaumuhimu wa kuoa. sasa kamamwanamke anaweza tu kuishi namwanaume bila ya ndoa na mwanaumehuyo akapata huduma zote kutoka kwamwanamke huyo, unadhani ni kitu ganikitamvuta kufunga ndoa. jambo lingine niile dhana kwamba maana ya ndoa nitendo la ndoa. Kwasababu wanawake wamekua wabinafsi na shinikizo la tamaduni za kimagharibi, asili ya mwanaume wa kiafrika ilikua ni kuoa wake zaidi ya mmoja, sasa mambo ya nke mmoja imekua tabu kidogo, nashauri turudie tamaduni zetu za kale. Kwa kuwa siku hizi kuna kundi kubwa la kina mama ambao wamejikuta wakiachiwa mzigo wa malezi ya watoto, baada ya aidha kuachwa na waume zao au kuzalishwa na kutelekezwa (single mothers), na hapo ndipo tunaposhuhudia mtoto wa kiume anapokua kwa umri na kimo huku akiwa hana mtu wa kumuangalia kama mfano wa mume anavyotakiwa kuwa katika. Actually wanaume hawapendi au hawana ujasiri na mwanamke mjanja/mjasiri anayejua mambo. asili yao ni kichwa mke awe mkia (churani hukoo ) na mara nyingi mwanamke akiwa mjuvi wa mambo basi mwanaume kumuona ni mjuaji na kumtosa.

Kwanini vijana wengi siku hizi hawapendi kuoa?

Kwanini vijana wengi siku hizi hawapendi kuoa?

Kwanini vijana wengi siku hizi hawapendi kuoa?

Related image with kwanini wanaume wengi siku hizi hawapendi kuoa jamiiforums

Related image with kwanini wanaume wengi siku hizi hawapendi kuoa jamiiforums

About "Kwanini Wanaume Wengi Siku Hizi Hawapendi Kuoa Jamiiforums"

Comments are closed.